about-us3

Njia nyingine za uzazi wa mpango

Kumbuka,Sayana Press haikukingi na magonjwa ya maambukizi ya zinaa kama HIV (UKIMWI). Kujikinga na magonjwa ya zinaa, tunakushauri utumie kondomu za kike au za kiume kila unapofanya mapenzi, ukiongezea na Sayana Press.

Sayana Press ni njia moja wapo ya uzazi wa mpango. Tunakushauri na kukuimiza kujifunza zaidi.

Mojawapo ya vyanzo vyetu ni bedsider.org

Kuhusu Taasisi Yetu

Mikakati

Mkakati wetu ni kutoa huduma kama chanzo cha kimataifa kujibu maswali yote kuhusu sindano binafsi nay a nyumbani ya Sayana Press.
Lengo letu ni kuhakikisha taarifa na maelezo yanapatikani kwa mtu yeyote anayetaka kutumia sindano ya Sayana Press.

Tovuti hii inatengenezwa na kundi la watu wanaoamini upatikanaji wa huduma za uzazi wa mpango ni haki ya kila binadamu.Taarifa zote kwenye hii tovuti zimepatikana katika vyanzo vyenye hukakika na kuaminika.

Tutafurahi kupata mrejesho wako au mawazo yako ya kufanya tovuti hii iwe zuri na fanisi zaidi.Tafadhali wasiliana nasi kupitia easy@injectsayanapress.org

Kanusho

Wakati tunajitahidi kuhakikisha kwamba kurasa zote ziko sahihi, yaliyomo kwenye hizi kurasa zinaweza badilika. Tunaweza kukubali hakuna dhima kwa usahihi wa taarifa iliyotolewa wakati wowote.